Daily News Digital
Daily News Digital
 • 3 669
 • 6 702 587

Video

Comments

 • Annanias Byarugaba
  Annanias Byarugaba 18 hours ago

  Naomba namba zenu nahitaji senene za jumla namba 0762009367

 • Justine Ulimule

  Rest in piece Baba wa taifa letu Tanzania.

 • maneno clais
  maneno clais Day ago

  Tupeni vitabu hvyo hata kama vitachukua miaka kumi au ushirini...itakua urithi wetu

 • Ababuu Mwana Zanzibar

  Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1 Tunakukumbuka Sana'a Baba Yetu wa Taifa Mungu akupe kauli Thabit InshaAllah

 • Rabia Gwota
  Rabia Gwota Day ago

  MUNGU AWABARIKI

 • Johntay Kimani

  is that a puff adder?? Hatari sana

 • Joseph Kalaita

  Asanteni dn kwa kutuhabalisha

 • Mussa Sualehe
  Mussa Sualehe 2 days ago

  Ishu ya jakaya ni kujimwamnafai sio kwamba jpm hatanyi kazi vizuri. Yaani njaa mbaya kwelikweli. JPM yupo poa kikazi hilo halina ubishi, lakini kuwa mchapakazi hakukufanyi wewe kujimwamnafai mwambafai. South Africa wale makaburu walifanya kazi ambayo hakuna hata MTZ mmoja atakayeweza hata kuikaribia ndani ya miaka 300. Lakini walindolewa madarakani bila kujali ubora na kazi nzuri waliyoifanya. Kikwete; Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka Viongozi nchini kuachana na tabia ya kujikweza mbele za watu na badala yake waishi kama Binadamu wa kawaida kwani kujishusha hakuwapunguzii vyeo walivyonavyo. _ Ametoa kauli hiyo leo October 08,2019 wakati akizungumza katika Kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl.Nyerere. _ "Uhuru wa Tanganyika hauna maana kama hata nchi moja ya Afrika itakuwa bado imetawaliwa, mawazo hayapigwi rungu, mawazo yanashindwa na mawazo yaliyo bora zaidi" _ “Kujishusha hakukufanyi usiwe Kiongozi kujimwambafai mwambafi hivi, wala hakukufanyi uwe kiongozi zaidi, unapokuwa na Binadamu wenzako ni wanadamu kama wewe” _ "Dhamana ya Uongozi haikufanyi uwe mtu zaidi ya Raia mwingine ,haikufanyi wewe uwe na haki zaidi kuliko mtu ambaye si kiongozi " _ "Tubaguane kwa Makabila, tubaguane kwa dini halafu tuone kwamba nchi hii itabakia kuwa moja, Mwalimu aliheshimu sana Utu wa mtu, aliweka mbele thamani ya mtu, alikuwa mtu wa kawaida kabisa mbele ya watu wengine"

 • Jimmy Mberesero
  Jimmy Mberesero 2 days ago

  Kiini ni Mhe. JPM Kujenga Balozi ya Tz Nchini Telaviv Israel yaan MUNGU Amlinde na Kumbariki Tulikosa Mapato Mengi Mnoo....

 • Abdy Hotty
  Abdy Hotty 3 days ago

  km kuna mtu kaona km kioo kinaufa twende sawa au macho mabovu jmn

  • ABDALAH FARIDA
   ABDALAH FARIDA 17 hours ago

   Kioo chenye ufa sio cha gari la Magufuli. Huyu Rais ni chapa kazi sana lakini anazo kasoro nyingi sana anazotakiwa azisahihishe. Kwanza kuteka watu, kupiga watu, kuua, kufilisi na kusababisha Watanzania kumuogopa mpaka hata kujiandikisha kupiga kura imekuwa tatizo. Unapopewa madaraka haitakiwi kuyatumia vibaya. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "CHEO NI DHAMANA". Hauwezi kupewa madaraka na Wananchi alafu uyatumie vibaya kama anavyofanya Magufuli. Watanzania wengi hawana amani wala raha ya kuishi nchi hii ni ukosefu wa fedha tu wengi tungekuwa tumeshahama. Angalia nchi za wenzetu wanaishi maisha ya amani sana ukilinganisha na Tanzania. Watu wanatafuta fedha zao kwa shida alafu unaporwa kwa visingizio vya UFISADI. Hivi kama unadaiwa kodi hauwezi kutajiwa deni lako ukalipa huku unafanya kazi zako mpaka uwekwe kizuizini. Magufuli amefikisha nchi mahali pabaya sana. Angalia afya za Watanzania na afya za majirani zetu Wakenya, Waganga, Warwanda, Burundi, Zambia, Wamalawi na wengineo. Watanzania toka aingie Magufuli madarakani Watanzania afya zetu ni mbaya sana. Vifo vya Presha, magonjwa ya moyo na Sukari usipime. Amani imepotea kabisa. Anatishia kuwafukuza kazi wakuu wa Wilaya na Mikoa kisa watu kujiandikisha wakapige kura. Utaendaje kujiandikisha ili upige kura wakati CCM na Rais wao wanayo matokeo. Upige kura wakati tayari yeye mwenyewe ameshatamka kuwa hatatoka madarakani huo si upuuzi. Anajigamba kuwa yeye peke yake ndie anaweza kuleta maendeleo nchi hii huko si kudharau watu. Haiwezekani Watanzania milioni 56 iwe mwenye uwezo wa kuongoza wenzake awe ni Magufuli peke yake. Huu ni udhalilishaji sana kwani hata kwenye familia zetu kuna Wanaume wengine wanaongoza familia zao vizuri kuliko hata Magufuli. Toka tuoane na Mume wangu hatujawahi kugombana wala kupigana lakini Magufuli anapiga mke mpaka analazwa. Kipimo cha kiongozi kinaanzia nyumbani kwake sasa mnamsifu kuwa anaweza kuongoza. Tufute semi zisizo na tija. Amewafanya Watanzania wamekuwa kama kunguru. Waoga hadi wanaugua. Mtu akipita barabarani anachunga asitaje jina la MAGUFULI akichelea kupigwa risasi au kukatwa kichwa. Huu sio utawala bora. Mashehe, Maskofu, Wachungaji, Wazee wa jadi wote mkia chini kama Mbwa mwoga. Rais anatoa matusi hadharani, anadhalilisha hadharani lakini hakuna wa kumuonya. Rais ana matumizi mabaya lakini hana hata washauri nchi gani hiyo.

 • J. F.K
  J. F.K 3 days ago

  Kumbe mkecwa Rais Magufuli anaandikia mkono wa kushoto! Safi.

 • Ridhiwani Omari
  Ridhiwani Omari 3 days ago

  Huyu rais wa safari hii anapiga kazi si mchezo,hatulii ofisini

 • Madiba Mandela
  Madiba Mandela 3 days ago

  RAIS Dk John Joseph Pombe Magufuli oyeeeeeeeeeeeeee

 • Raymond Baraka
  Raymond Baraka 3 days ago

  Safi

 • Prosper Mugisha
  Prosper Mugisha 3 days ago

  Imependeza haswa! Hongeren sana

 • Benovila Balama
  Benovila Balama 4 days ago

  Congrats Bro Mkani D.Waziri

 • Kunte Okonji
  Kunte Okonji 4 days ago

  Sie watoto wa kiume hatupendi vitu vya kupewa

 • Fahmi khamis
  Fahmi khamis 6 days ago

  Umezeeka mh amani

 • Phillip Matola
  Phillip Matola 7 days ago

  Kwani hawa watu hawana...UNION KWELI huku ni kuwanyanyasa watanzania

 • Phillip Matola
  Phillip Matola 7 days ago

  Hapana lazima mlipwe chenu...harafu lazima mupewe mkataba

 • erry deo
  erry deo 7 days ago

  nampenda PM wetu kwa kuwa na data...

 • COSMAS DAUD
  COSMAS DAUD 7 days ago

  Tutaelewana tu akuna kubebana nyie mnapeana Kaz kindugu utafikili almashauri ya ukoo wenu

 • VVW Vipaji vya watoto

  Tutafika tu

 • Fadhili Swidhun
  Fadhili Swidhun 8 days ago

  Safi waziri mkuu kwa kaz nzur

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. 8 days ago

  Amen Amen. Mungu na akubariki sana. Amen.

 • Beatrix Rwiza
  Beatrix Rwiza 8 days ago

  🙄🙄

 • Juma Zidikheri
  Juma Zidikheri 8 days ago

  Sasa ni wajibu wa serikali kuhakikisha hizo fedha haziibiwi na majizi pamoja na mafisadi yaliomo ndani ya serikali ya CCM. Maana muda huu tunashuhudia vile Rais J.Magufuli anvyosumbuliwa na mafisadi ya CCM, yeye kila siku anatumbua majipu tuu, hayaishi.

 • Mungete Mwampulo
  Mungete Mwampulo 8 days ago

  Mbarikiwe benki ya dunia

 • Timbulo Said
  Timbulo Said 9 days ago

  Mzee lea wajukuu saiz achana na siasa

 • Shomary Mussa
  Shomary Mussa 9 days ago

  Tumekuelewa mzee uzalendo kwanza

 • Alipo Atunkolepo Mwakanyika

  USIKONDE MKUU TUKO PAMOJA KAMA HAWATAKI KUBADILISHA KATIBA TUTANDAMA.

 • Shariff Rajab
  Shariff Rajab 10 days ago

  Sasa wakenya wataacha zarau watafunga midomo na bado

 • Shariff Rajab
  Shariff Rajab 10 days ago

  Najivuniya kuwa mtanzania

 • Ibrahim Hamza
  Ibrahim Hamza 10 days ago

  Vip ges ya mtwara

 • WENNCESLAUS MUSHI
  WENNCESLAUS MUSHI 10 days ago

  Hongera sana khadija

 • WENNCESLAUS MUSHI
  WENNCESLAUS MUSHI 10 days ago

  Aksanteni sana waandaaji

 • WENNCESLAUS MUSHI
  WENNCESLAUS MUSHI 10 days ago

  Hongereni kwa kuifanya jamii ya walemavu kuwa na thamani

 • Stanley Bupamba Mbogo

  Mh JPM hakika wewe Jembe la Majembe... Maamuzi na utekelezaji wake ni papo kwa papo maana yake kwa hali hiyo hakuna atakayeweza kufanya uchakachuzi wowote. Kwa staili hiyo yako, haja maridhawa inakidhiwa pale pale muda mwafaka... Safi sana Rais wangu, Rais wetu mzalendo, mchapa kazi, kiongozi mwenye kauli na maamuzi ambaye kwa kipindi kirefu wananchi tulio wengi tulilia kukupata. Mungu alisikia kilio chetu Watanzania na akatujibu kwa kukuleta na kukusimika uongozini kwa manufaa yetu yaani Tanzania. Tunamwomba aendelee kukulinda na kukujalia zaidi na zaidi ktk uongozi wako na maisha yako uweze kututumikia sisi wananchi tuliohini ya uongozi wako Mh. Rais wetu. Nashukuru Mungu aliniongoza vizuri kufanya uamuzi sahihi kukupigia kura. Nakumbuka, nilitoka chumba cha kupigia kura nikiwa nimejawa na furaha sana mara nilipokwisha kukupigia kura wewe na watu wako wote, nikatembea kifua mbele mpaka mtu mmoja aliniuliza mbona nilionesha furaha kiasi kile!!! Mimi kwako ni mpaka kufa kwangu! Mwisho, naomba kama utausoma huu ujumbe/maoni yangu, ujue mimi nasubiri siku moja nipige picha na wewe (ya kumbukumbu yangu, hata kwa ajili ya watoto na wajukuu wangu) nikiwa nimekupa mkono tu itatosha kuelezea navyokukubali, haijalishi hata kama utakuwa umeshastaafu...hii ndiyo dhamira na plani yangu kwako. Naomba uweke hili akilini na moyoni mwako Mheshimiwa Rais wangu!!!!

 • Anania Ngonyoka
  Anania Ngonyoka 11 days ago

  My City, am proud of it,

 • Ntora Updates info.
  Ntora Updates info. 11 days ago

  Mpaka abusitiwe ndo anastuka kutoka usingizini,

 • Bettar Wazir
  Bettar Wazir 11 days ago

  Kazi juu kazi babaaa

 • Bettar Wazir
  Bettar Wazir 11 days ago

  Fanyia kazi iyo mkuu wa mkoa ndo majukum uliyopewa na mungu

 • abdullatif umbe
  abdullatif umbe 12 days ago

  hasa shida inatibiwaje

 • Ibrahim Mohamedi
  Ibrahim Mohamedi 12 days ago

  SAFI

 • Willingtone John
  Willingtone John 12 days ago

  Safi sana jpm

 • Jackson Daud
  Jackson Daud 13 days ago

  Proud to our geita

 • Wazo Myakinifu
  Wazo Myakinifu 13 days ago

  Kupunguza tatizo la msongamano wa abiria jaribuni kujenga njia ya vitreni vidogo vya mjini (tram) ktk njia hizo hizo za mabasi ya mwendo kasi. Hivyo mtapunguza sana msongamano wa abiria. Isitoshe umeme unakuja kwa wingi tu. Ktk njia ya tram yatapita mabasi pia. Badala ya kuongeza mabasi zaidi jengeni njia nyingi za trams . Hakika mkifanya hivyo, tatizo hilo la msongamano wa abiria litabakia kuwa historia. Tumieni vizuri hiyo space ya barabara za mwendo kasi kwa kuongeza humohumo na njia za trams. Mnaohusika fanyieni kazi hili wazo.

 • Ibrahim Mohamedi
  Ibrahim Mohamedi 13 days ago

  Maendeleo siku zote huja na changamoto zake na hizo ndiyo chamoto za kimandeleo matumaini yangu ni kuwa zitaendelea kufanyiwa kazi na hatimae tuwe mfano wa kuigwa ulimwenguni.

 • Michael Siweya
  Michael Siweya 13 days ago

  Mjitahidi kwenda na muda. Mnaongelea kuhusu mchakato wakati changamoto imekuwa ni kuwa.. During the pick hour.. Kunakuwa na shida sana.. Watu tunajazana ..magari yazidiwa.. Mengine yanawaka moto.. Kwa nini msiende na muda.. Mchakato tokea mwaka jana?

 • Katalay Shemndolwa
  Katalay Shemndolwa 13 days ago

  dah yaani siamini nimeitafuta sana mbugu yake dah nitakutafuta nipo korogwe gungu

 • daniel daniel
  daniel daniel 13 days ago

  Safi lazima nije!

 • Ababuu Mwana Zanzibar

  Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae Dr Sheni Hongera Sana'a

 • Shomary Mussa
  Shomary Mussa 14 days ago

  Hongera sna wana zanzibar

 • nelsonn mwaipaja
  nelsonn mwaipaja 14 days ago

  punguzeni kodi ili kila mtu alipe baadhi ya maofisa wakali kama mbogo wanachowaza ni kukusanya tu.

 • Hosea Mhanga Makanga

  Mbona zito anasema den la nchi linakuwa

 • mohamed a taulo
  mohamed a taulo 15 days ago

  Nimemliza mb zangu bure.

 • Penda Gide
  Penda Gide 15 days ago

  Good work Dr. Hakika mm ni kazi nzuri sana mkuu

 • Cendrick s Mkwama
  Cendrick s Mkwama 15 days ago

  duuuu hata kwa bure siwez kuchukuwa

 • Marijani Murshid
  Marijani Murshid 15 days ago

  Daily news tuko vizuri

 • Ezekiel Sabiyumva
  Ezekiel Sabiyumva 15 days ago

  Asante sana

 • keffa jacob
  keffa jacob 16 days ago

  Mtapata,???????

 • Muddy Kassim
  Muddy Kassim 16 days ago

  Kijiji cha bombo kata ya makanya tunaishi kama ng.ombe mpala leo hatuna maji tunategemea mito nyakat za mvua tunapata shida sana ya maji tunahitaj japo visima hali sio nzuri kabisa

 • kassim tanda
  kassim tanda 16 days ago

  Kamata wore FAnya kazi big up

 • Edson Fabian
  Edson Fabian 17 days ago

  oy wek no zko nitakupataj ss

 • Khalfan Sefu
  Khalfan Sefu 18 days ago

  Jembe la rais

 • Ayoub Joshua
  Ayoub Joshua 18 days ago

  Isabela liko konki xan

 • Shakiru Yazidi
  Shakiru Yazidi 18 days ago

  DALILI ZA MWANAUME MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Lazima ujue nguvu za kiume ni yule mtu ambae hawezi kuzalisha, lakn nazungumzia uume kusinyaa wakati na baada ya ngono wengi tumekuwa tukitamka upungufu wa nguvu za kiume lkn sio kweri. Iko ivi👇👇👇 1⃣ Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha Uume wake barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa. 2⃣ Na hata uume wake ukisimama hubaki kuwa goigoi/legelege na huweza kusinyaa wakati wowote. 3⃣ Kumaliza mapema/kufika kileleni mapema kabla ya mke wake. 4⃣ Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume. 5⃣Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri. 6⃣Mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. 7⃣Mwanaume Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa uume wake. Hali hii inajitokeza pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Kwa matibabu ya tatizo hili andika neno (TIBA) WhatsApp no. 0692913975 au Piga simu 0692913975